★ About SeekersConnect
A trusted digital agency model for homes, care and safe work.
SeekersConnect inaleta order, trust na digital experience kwenye ajira na huduma ambazo mara nyingi watu huajiri kiholela. Hapa kila mtu anakuwa kwenye mfumo wenye verification, monitoring na community support.
Why this product matters
Familia zinahitaji usalama. Providers wanahitaji opportunity. Trainers na therapists wanahitaji sehemu ya kushare knowledge. SeekersConnect inaunganisha haya kwenye product moja.
A
For clients
Pata tutor, yaya, house maid, therapist au fundi mwenye profile na trust layer.
Pata tutor, yaya, house maid, therapist au fundi mwenye profile na trust layer.
B
For providers
Jenga profile, pata kazi, ratings, group support na webinar access.
Jenga profile, pata kazi, ratings, group support na webinar access.
C
For communities
Toa webinars, guidance na mafunzo kwa field husika.
Toa webinars, guidance na mafunzo kwa field husika.
Vision
Kuwa centralized verified work and service search platform inayoanza Tanzania na kupanuka globally.
Trust layer
ID, wadhamini, records, ratings, complaints, field groups na monitoring.